Maria Roza
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 6,803
- 1,601
Maria Roza sasa mbona hiyo moro najiona kama nipo pekee yangu? Watu kibao wamesema kuwa watanipm lakini kimya napenda sana kuonana na wana JF wa hapa Moro.
mimi nipo morogoro ndugu tutafutane tubadilishane mawili ma3
Zipuwawa karibu katika mji tulivi japo foleni zimeanza siku hizi, wadau tupo toa contact mkuu
Kumbe moro tuko wengi ee
Wa FJ nilikuwa sipo hapa nchini sasa nimerudi na nategemea kuwa nitakutana na wana JF hapa Moro nitakapokuwa nikiishi sasa naomba nikaribishwe. Ni kweli kuna siku nilisema ipo siku angalau nitamfahamu mtu hata wa ndani ya nyumba hii lakini hadi leo hakuna hata mmoja ninayemfahamu hata kwa kumuona hivyo wale wa Dar na Moro napenda kushirikiana nanyi kama mwana jamii mwenzenu. Hapa nipo Kilakala kwa sasa.
Kama vipi leo jisogeze Glonency pale 8.8, tutakuwa tunakaribisha weekend na wazee wa Ngwasuma...
Maty unaonaje ukiwa JF Coordinator, Morogoro crew?
Usijali my dia, jamani mlioko moro nitumieni pm wapendwa tupate badilishana mawili matatu
Kagua PM yako tayari
Karibu sana Ifakara mkuu.