Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeanza lini hiyo tabia we mwanamke..?😅
Ewaaa ndo umetoka kujifukiza.[emoji1][emoji1][emoji1]
Mambo yako poa Shemu lake , Chai ya maziwa ?..( nimeuliza tu hahah).. Ili kama ni njaa inishike ,au nishibeMambo! Karibu chai.
Ewaaa ndo umetoka kujifukiza.
Shemeji yako nmesubiri weee huonekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee ni noumaaaaaNilikuwa napiga nyungu yenye impact ya wiki nzima so imechukua muda mrefu[emoji4]
Dah! Najuta hata kukushauri hivyo! Maana ndo hata nafasi ya kuteta nawe hunipi..??Umesahau wewe ndie ulienishauri au ulikuwa umelewa?
Kuna nini..??
Gud
Mambo yako poa Shemu lake , Chai ya maziwa ?..( nimeuliza tu hahah).. Ili kama ni njaa inishike ,au nishibe
Sent using Jamii Forums mobile app
Koo koooo koooooo hahahah hiyo ngozi imesalimika ??? Wee ni noumaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Najuta hata kukushauri hivyo! Maana ndo hata nafasi ya kuteta nawe hunipi..??
Huijui talaka wewe..Kwa sasa ni mwendo wa sosho distansi.
Huijui talaka wewe..
Kuna kitu nataka nikwambie..??Tena hata usifikrie khs talaka ukiileta hakuna rangi utaacha kuona😊