hodi hodi naingia

hodi hodi naingia

sasambu

Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
78
Reaction score
23
napiga hodi wana JF mnipokee mnipe ushirikiano wa kutosha nilikua msomaji mzuri wa JF lakini nilikua sichangii sasa nami nimekua mmoja wenu
ahsanteni
 
Sasambuaaaaaaaaaa karibu.
 
Ila tu ucje tusasambulia huku wengine wadogo.
 
Karibu Sana ila ufuate sheria za JF Utaenjoy Sana
 
Back
Top Bottom