Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
may be jukwaa la wakubwa
kabla sijajiunga nilikua naona member wanaliongelea.
karibu lakini umeandika "ndugu zangu" badala ya "ndugu zangu"....wewe ni Mkenya?Baada ya kukaa muda mrefu nikijisomea habari murua ndani ya jf hatimaye nimefanikiwa kuwa member rasmi kwa baadhi ya majukwaa.
Nawapenda sana ndugu zangu kikubwa ni ushirikiano wenu katika mada mbalimbali.
OMBI LANGU
1.je majukwaa mengine nitaweza kujiunga vipi
2.naomba kujurishwa sheria na jinsi ya kutumia jf
Chai zipo MMU mgeniasante sana, nasubiri chai ya mgeni
Watu wenye uzoefu wao hilo jukwaa lipo pm?Mpaka ufikishe miezi kama sita au mwaka mmoja ndani ya JF ndo utapata ruhusa ya kuwa jukwaa hilo.
Social forum.ndo wapi huko nikimbie haraka
Kama mi mzoefu najiungajeMpaka ufikishe miezi kama sita au mwaka mmoja ndani ya JF ndo utapata ruhusa ya kuwa jukwaa hilo.
nitajitahidi kuhimili misukosuko yote ya kule jukwaani! vipi mkuu unaweza kunipa dondoo za kule
Kama mi mzoefu najiungaje
Watu wenye uzoefu wao hilo jukwaa lipo pm?
Tunareply kikawaida au tuna tumia stick[emoji23]Yeah njia ya mwendokasi kufika JLW ni kupitia Paul Makonda kwanza lomela na mods watakuunga huko. (Kama hujaelewa nilichoandika ndo basi tena hahahaha)