Hodi hodi ndungu zangu

Hodi hodi ndungu zangu

Karibu...hatuna sheria rasmi ila huruusiwi kukashifu dini za watu tu....mengine yote ruksa
 
Baada ya kukaa muda mrefu nikijisomea habari murua ndani ya jf hatimaye nimefanikiwa kuwa member rasmi kwa baadhi ya majukwaa.
Nawapenda sana ndugu zangu kikubwa ni ushirikiano wenu katika mada mbalimbali.
OMBI LANGU
1.je majukwaa mengine nitaweza kujiunga vipi
2.naomba kujurishwa sheria na jinsi ya kutumia jf
karibu lakini umeandika "ndugu zangu" badala ya "ndugu zangu"....wewe ni Mkenya?

halafu ujue kuna kabila moja nalijua tafsiri ya "ndungu" ni "korodani"!
 
nitajitahidi kuhimili misukosuko yote ya kule jukwaani! vipi mkuu unaweza kunipa dondoo za kule

Mkuu mimi ni raia wa kawaida sina cheo kuna msemaji wa jukwaa mwenyekit,katibu na tester huyu kazi yake ni kuchek mzigo kabla haujasapply kwa walaji watakuja wasemaji mda ukifika mkuu
Best regards
 
  • Thanks
Reactions: Vcf
Back
Top Bottom