Hodi hodi. Nifundisheni nisalimieje humu, Nani me, ke, umri, nani mheshimiwa n.k?

Hodi hodi. Nifundisheni nisalimieje humu, Nani me, ke, umri, nani mheshimiwa n.k?

Dume una faida gani hadi utake tukupokee kwa kishindo namna hiyo?[emoji57][emoji57].....ungekuwa ke hapo sawa!
 
Ww we ati bashite haarafu IDs hiyo itakufanya mod wakuban kabla hawajakusitukia ibadilishe fasta
 
Back
Top Bottom