Nguruvi3 Platinum Member Joined Jun 21, 2010 Posts 15,773 Reaction score 32,431 Jun 23, 2010 #1 Wakubwa nawasabahi, nimeingia ukumbini nipeni kigoda cha kukalia sio kagoda invest. Najulikana kama Nguruvi3 kwa wale wa paris a.k.a pare wanajua maana, hekima zimejaa ndani ya DNA zangu,nina allergy na matusi, napenda mzaha wenye busara.
Wakubwa nawasabahi, nimeingia ukumbini nipeni kigoda cha kukalia sio kagoda invest. Najulikana kama Nguruvi3 kwa wale wa paris a.k.a pare wanajua maana, hekima zimejaa ndani ya DNA zangu,nina allergy na matusi, napenda mzaha wenye busara.
doup JF-Expert Member Joined Feb 26, 2009 Posts 2,706 Reaction score 2,861 Jun 23, 2010 #2 karibu jamvini! ndugu yetu Nguruvi3
minda JF-Expert Member Joined Oct 2, 2009 Posts 1,068 Reaction score 67 Jun 23, 2010 #3 karibu jamvini bila shaka wewe sio nguluvi.