Wakubwa nawasabahi, nimeingia ukumbini nipeni kigoda cha kukalia sio kagoda invest.
Najulikana kama Nguruvi3 kwa wale wa paris a.k.a pare wanajua maana, hekima zimejaa ndani ya DNA zangu,nina allergy na matusi, napenda mzaha wenye busara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.