Hodi hodi nimetumwa na mganga, nipe sindano tatu na kipande cha sanda…

Hodi hodi nimetumwa na mganga, nipe sindano tatu na kipande cha sanda…

Queen V

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
785
Reaction score
1,368
Inabidi tu, maana watu wameamua kujitoa fahamu!

Sawa, umependa mtu mwingine; it is Human.

Sawa, umempangishia nyumba; uwe na uhuru nae it is logical.

Sawa, umemnunulia gari; asiteseke ni mwanamke mwenzangu na mimi feminist. I am in support asipigwe jua kwanza rangi ya Mtume.

Sawa, umemtambulisha kwa binamu zako Waja wa Laana; siwapendi pia kwahiyo sio issue wala nini.

Sawa, umemfungulia biashara kama yako; akili hakujaaliwa ishaanza kufa na nimeshuhudia.

Ndo umpeleka tulipospend our honeymoon na kulala nae hotel ile ile?? Yani unampa hopes kuwa yuko levels zangu ni vile tu huwezi kuoa tena bila kuniacha mimi?

Sasa leo umenikumbusha mimi ni wa Tanga. Leo nimemjua mganga kwa hiari yangu (tushaenda sana na mama kwa shuruti). Nitatumia pesa zako mwenyewe kuwaumiza wewe na kichaa mwenzio.

Nimepata hamu ya kuwa mjane, nimemwambia mganga afanye LOLOTE! Na mganga ni mwanamke mwenzangu, nimemsimulia nimeona kabisa usoni kaumia. Kazi kwako usiye na Mungu, kanisani nakuendeaga mimi!
 
Kunywa Maji mengi upumzike

Wanaume wengi tuna udhaifu kwa wanawake

Hata huyo akiondoka, atakuja mwingine ambaye unaweza kudhank dearX ana nafuu

Kila la heri
BTW, Wanaume ndiyo tunachimbaga kaburi, hatuna jinsi tutachímba kwaajili ya mwana
 
Tupo mpk mwisho ingawa umeanza na flash back kaboooom kwa mtaalamu
 
Kunywa Maji mengi upumzike

Wanaume wengi tuna udhaifu kwa wanawake

Hata huyo akiondoka, atakuja mwingine ambaye unaweza kudhank dearX ana nafuu

Kila la heri
BTW, Wanaume ndiyo tunachimbaga kaburi, hatuna jinsi tutachímba kwaajili ya mwana

Sitaki mwingine baada ya huyu - nitabaki najitunza
 
Kweli wanaune tumeumbiwa mateso,

Unakuta huyo kimada naye alimloga ili ampate, sasa analogwa tena na njii kuu, hapa hujalogwa kazini (kama wewe ni bossi), na kama unanafasi kauwezo kuna watu kwenye familia wanakuloga pia uwasaidie wao tuu

Yaani kwa kweli Mungu atusaidie tu
 
Dah hadi for a second nimewahurumia. Ila MNAYATAFUTA!
 
Duuh kwahy sindano hizo za kazi gan?
Afu tuandae rambi rambi?
 
Back
Top Bottom