Hodi hodi nimetumwa na mganga, nipe sindano tatu na kipande cha sanda…

OKAY ASANTE KWA TAARIFA
 
Ndio umeamua kuja kunitangaza eehhhh...🤔
 
Unamuua ili upate faida gani!!?

Ungemtumia huyo mganga kuharibu tu uhusiano wao na sio kumtoa roho!

Ninachojivunia sisi wanaume hata tupate mchepuko wa haja familia Huwa tunahudumia,sasa unashindwa kuona mambo mazuri meengi aliyoyafanya umeshikilia Moja Hadi umtoe uhai!!?kwanini usimshauri amuoe muwe wawiili!

Baada ya kumuua Kuna kipindi MUNGU atakupitisha utakua tayari kustahimili!??

Utakua tayari kulipa gharama ya damu ya baba ya wanao pale wanao watakapoanza kukusumbua kama kisasi cha damn ya baba yao!!?

Unajua neno damu ya watoto kulilia baba yao!!?

KUNA MATUKIO YATAFUATA KUHUSU HAO WATOTO NA MALI MLIZOCHUMA HADI UTAJUA HUJUI!!!

USIMWAHE DAMU YA MTU ALIEUMBWA NA MUNGU KWA MFANO WAKE!!
 
Namba Kwini, nikutumie ya kuku 😁

Mkeka ukitiki, namie unipe namba ya mganga wako
 
Mwaya mroge awashwe washwe atamani wanaume wenzie 😹
Ukifanikiwa nipe na mimi namba za mganga wako..!!
Lengo lake huo mstari wa mwisho kwenye post yako, apate wateja.
Utapeli tupu.
Akikupa hiyo dawa ikafanya kazi, Mimi naomba ya kuwaloga wauwaji wa MO29.
 
Kuanzia wakataa ndoa na wenzenu walioingia kwa ndoa ila hawatulii... huu uzi umewapitaje?

😅😅😅

Niambie kweli umefanya hayo umeandika kwa mumeo?
 
Lengo lake huo mstari wa mwisho kwenye post yako, apate wateja.
Utapeli tupu.
Akikupa hiyo dawa ikafanya kazi, Mimi naomba ya kuwaloga wauwaji wa MO29.
Darling upo?

Huyo bana mi namzingua najua fika anatafutwa wa kutapeliwa..!!
 
ongeza na mganga mwingine mwenye nyonyo 1, na utakunywa sifongo mpaka ufubae.......niko fiti nasonga...
 
Wanawake viumbe hatari sana,mpaka ukue ndipo utawaelewa,umalaya wafanye wao,yeye awe busy wewe ndiyo malaya, wakati mziki umeushuhudia live,na kwa ajili ya watoto hekima ikakutuma upuuze,usije tengeneza chokoraa mitaani,upo bize zaidi na watoto,yeye si muhimu kwa wakati huu,watoto wasome kwanza,siku moja nampa wazo,nataka nikupe nyumba hii,mimi nijenge nyingine hataki,manake yeye ni malaya istoshe ni mlevi nataka kumpa uwanja mpana zaidi,hataki,amesisitiza nikifanya kila mtu akae kwake ataniua mimi crocodiletooth hivi hivi!,kibaya anakamkono ka wepesi ka kwenda kwa wazee wa jadi,kinachonitisha best zake ni vibibi ambavyo vingi ni vijane,na binafsi kukaa naye mbali hakuna mjadala,njia ninayojaribu kutumia,kumtafuta sheikh asome dua ashikamane na jamaa yoyote yule kimahaba ili anione mimi si lolote,labda nitapona,infact naogopa sana akili mbaya za wadada wa miaka hii,kukukatisha moto ni dakika moja,mungu tusaidie vijibaba wa 45+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…