Wapenzi wanaJF nawasalimuni kwa mpigo Mamboooooooo! Nimewamiss sana baada ya kuhukumiwa na majaji wa JF kifungo cha miezi 3 kwa kosa la kumkashifu mzee wa Gombe. Nawaonya na ninyi msije mkafanya kosa kama langu mkaishia lupango, kwani mmoja wa majaji ni kijana wa kufikia wa mzee wa Gombe.
Nasikitika wakati nimeenda lupango nilikuwa nimeposti thread ya kutafuta mchumba, sasa wachumba wamenitafuta hadi wamekata tamaa. Nadhani itanichukua miaka 5 hadi kuja kupata mchumba tena.
Lupango ni kugumu sana, kuna mambo ya ajabu ajabu yanafanyika kule ambayo siwezi kuyasema, ingawa mimi kwa u-power yangu hayakunipata. Lakini kwa wafungwa wanyonge wanyonge mmmh. Tangu siku ya kwanza naingia lupango nimekuwa nikiwawaza hawa wafuatao, kiasi kwamba nikaona kama siku haziendi:- Ciello, Preta, Lara1 na charminglady. Ukitaka kupata uzoefu mzuri wa lupango, ufungwe mwenyewe.Dahhh pole sana...Ila umejifunza nn ulipokuwa lupango..
Ndugu yangu Power G huyo mzee mimi mwenyewe alinisababishia kifungo cha mwezi mmoja, usimguse tena yule ni nyara ya serikali
Wapenzi wanaJF nawasalimuni kwa mpigo Mamboooooooo! Nimewamiss sana baada ya kuhukumiwa na majaji wa JF kifungo cha miezi 3 kwa kosa la kumkashifu mzee wa Gombe. Nawaonya na ninyi msije mkafanya kosa kama langu mkaishia lupango, kwani mmoja wa majaji ni kijana wa kufikia wa mzee wa Gombe.
Nasikitika wakati nimeenda lupango nilikuwa nimeposti thread ya kutafuta mchumba, sasa wachumba wamenitafuta hadi wamekata tamaa. Nadhani itanichukua miaka 5 hadi kuja kupata mchumba tena.
Lupango ni kugumu sana, kuna mambo ya ajabu ajabu yanafanyika kule ambayo siwezi kuyasema, ingawa mimi kwa u-power yangu hayakunipata. Lakini kwa wafungwa wanyonge wanyonge mmmh. Tangu siku ya kwanza naingia lupango nimekuwa nikiwawaza hawa wafuatao, kiasi kwamba nikaona kama siku haziendi:- Ciello, Preta, Lara1 na charminglady. Ukitaka kupata uzoefu mzuri wa lupango, ufungwe mwenyewe.
Ndugu yangu Power G huyo mzee mimi mwenyewe alinisababishia kifungo cha mwezi mmoja, usimguse tena yule ni nyara ya serikali