Hodi Hodi tena...

Hodi Hodi tena...

Mafuluto

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2009
Posts
1,861
Reaction score
859
Ndg zangu, heshima kwenu wote...

Nilikuwa member kwa muda hapo nyuma, wakati nyumba yetu ikiwa jambo forum, then nikapotea kwa muda kutokana na shughuli za kila siku.

leo nimepata muda, naomba kurudi tena ili tushirikiane kuendeleza libeneke..

Shukran tele ....

Mafuluto
 
Back
Top Bottom