Hodi hodi wana Jamii forums

Hodi hodi wana Jamii forums

blackbobu

Member
Joined
Feb 12, 2021
Posts
28
Reaction score
35
Hodi wadau wa Jamii forums, I hope mko poa, kwa mda mrefu nimekuwa msomaji wa mada mbalimbali hapa jf bila kupewa access ya kupost au kuchangia jambo lolote japokuwa nimejiunga jf mda mrefu, nashukuru leo nimeweza kuwa approved, hodi hodi kwa mara nyingine, mimi ni ndugu yenu
 
Hodi wadau wa Jamii forums, I hope mko poa, kwa mda mrefu nimekuwa msomaji wa mada mbalimbali hapa jf bila kupewa access ya kupost au kuchangia jambo lolote japokuwa nimejiunga jf mda mrefu, nashukuru leo nimeweza kuwa approved, hodi hodi kwa mara nyingine, mimi ni ndugu yenu,
Haya karibu mkuu.
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Back
Top Bottom