Hodi hodi wana jf, mimi mgeni mpyaaaaaa wa jf.

FRANK NDUNGURU

New Member
Joined
Aug 3, 2013
Posts
4
Reaction score
0
Habari zenu wana JF. Mimi ni mgeni kabisaaaa, yaani mgeni hasa ndani ya JF. Ukisikia kwamba kuna mgeni amefika hapa nyumbani, ndio mimi. Hodiiiiiiii Jamani Eeeeeeeee! Mbona Kimya, hakuna hata karibu! Hivi kweli kuna watu humu ndani?
 
karibu mkuu bado tulikua bize na vijana wa ccm awataki mabadiliko
 
Habari zenu wana JF. Mimi ni mgeni kabisaaaa, yaani mgeni hasa ndani ya JF. Ukisikia kwamba kuna mgeni amefika hapa nyumbani, ndio mimi. Hodiiiiiiii Jamani Eeeeeeeee! Mbona Kimya, hakuna hata karibu! Hivi kweli kuna watu humu ndani?

Karibu JF frank.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom