FRANK NDUNGURU
New Member
- Aug 3, 2013
- 4
- 0
Habari zenu wana JF. Mimi ni mgeni kabisaaaa, yaani mgeni hasa ndani ya JF. Ukisikia kwamba kuna mgeni amefika hapa nyumbani, ndio mimi. Hodiiiiiiii Jamani Eeeeeeeee! Mbona Kimya, hakuna hata karibu! Hivi kweli kuna watu humu ndani?