Hodi Hodi wana Jf

Hodi Hodi wana Jf

Loyalist

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
411
Reaction score
893
Habari zenu wana Jamii forum, kwaheshima na tahadhima, naomba kujitambulisha kwenu kwakifupi tu, Mimi ni member Mpya ambaye hata hivyo nilikuwa naperuzi Jf pasipo kujisajili rasmi,

Natumai nitapata ushirikiano Mzuri kutika kwenu, shukrani wakuu!
 
karibu Sana
 
Back
Top Bottom