Hodi hodi wana JF

Hodi hodi wana JF

Umeme Jua

Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
66
Reaction score
33
Hodi hooooodi naingia,
uwanjaaaaani najimwaga,
mnikaribiiiishe jamani,
nijisikiiiiie nyumbani.

Asanteni sana nina imani mtanipokea kwa moyo mkunjufu na kushirikiana nami siku zote.
 
karibu JF angalau tukiwa na mgao wa umeme utakua ukifanya mambo...
 
Back
Top Bottom