Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh umejuaje km ni mama?kama ni baba je?
Asante,nimekaribia
Karibu sana.hellow Friends,naomben kampan yenu,nimekua na2mia mtandao huu kwa 2years as guest,sasa nimeingia ndan rasm,je nijickie kama nipo nyumban au.....?
Karibu Mama.
Tutakuona kwa ID ipi?Mmu ndo mpango mzma,lazma unione pale!
Hahahahaha ndo 2shangae kajuaje,ila hajakosea,yupo sawa kabsaaaaa
Ndio yeye mwenyewe huyo.Mh umejuaje km ni mama?kama ni baba je?