Hodi hodi wana JF

Joined
Nov 24, 2015
Posts
5
Reaction score
0
Habari zenu wakuu, hongereni kwa kazi ya kujenga Taifa; na hongereni kwa kutumia Mtandao huu kuibua mambo mbalimbali yanayoikabili jamii, pia hapa kuwa kitovu cha mijadala yenye tija kwa jamii na Taifa kwa ujumla, nami nimeamua kujiunga nanyi!!
 
[h=1]Utambulisho (Member Intro Forum), hapa ndio mahala sahihi kabisa.[/h]
karibu
 
Karibu sana JamiiForums....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…