Nurdin Mihungo
Member
- Nov 24, 2015
- 5
- 0
Habari zenu wakuu, hongereni kwa kazi ya kujenga Taifa; na hongereni kwa kutumia Mtandao huu kuibua mambo mbalimbali yanayoikabili jamii, pia hapa kuwa kitovu cha mijadala yenye tija kwa jamii na Taifa kwa ujumla, nami nimeamua kujiunga nanyi!!