Ukishagundua ujue we ndo chanzo cha tatizo kama sio hulka yake... Unatakiwa kujifunza kufanya mapenzi not all people are gifted to be good lover! Kujitambua mwili wako kuutambua mwili wa mwenzio pindi mkiwa faraga ili umridhishe ni kitu muhimu sana...yaani wapi ukimgusa anajiskia raha.. Kutoka nje kunatokana na yeye kutokuridhika vile vile sio wanawake wote wanaoweza kudhubutu kuwambia wapenz wao kuwa hawawaridhishi.. kwa hiyo kaa nae muulize ufanye nini ili kuondoa hili tatizo...kumpiga chini au kum-lulu hakusaidii... Utawalulu wangapi?[/QU
hapo umenena mkuu, ila ujue si wote wanaomegwa nje ni kwamba hawatoshelezw kimapenz. TAMAA inatuponza wanawake.