hodi hodi wanajamii forums na kisa chakweli naomba mawazo yenu

hodi hodi wanajamii forums na kisa chakweli naomba mawazo yenu

mkulasabo

Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
21
Reaction score
2
kama una mpenzi ,mke ,mchumba kisha ukangudua ametoka kumegwa bila ya wewe kumfumania lakini kukawa na mazingila ya kukufanya uhisi hilo jambo na baada ya kumbana mhusika akakili kweli nimetoka kumegwa ungekuwa wewe ungechukua hatua gani? naomba mawazo yenu
 
hatua zinatofautiana kwa wote uliowataja.kuwa specific na muwazi.

Mke?
Mchumba?
Mpenzi?
 
unamsamehe tuu,ila lazima akafanye blood test kwanza na akili mbele ya marafiki zako na marafiki zake kwamba hatarudia tena.Akigoma piga chini.
 
Itategemea niko ktk mood gani!
 
kama una mpenzi ,mke ,mchumba kisha ukangudua ametoka kumegwa bila ya wewe kumfumania lakini kukawa na mazingila ya kukufanya uhisi hilo jambo na baada ya kumbana mhusika akakili kweli nimetoka kumegwa ungekuwa wewe ungechukua hatua gani? naomba mawazo yenu

kama ni mke achana nae maana uzinzi hauruhusiwi ila kama ni demu na wewe tafuta mnyonge ummegee ili muende sawa upo hapo mkuu..
 
Mke nitaweka mjadala kidogo lakini lazima aipatepate.

Mpenzi nampiga kibuti au namtolea mbavuni.
 
Ukishagundua ujue we ndo chanzo cha tatizo kama sio hulka yake... Unatakiwa kujifunza kufanya mapenzi not all people are gifted to be good lover! Kujitambua mwili wako kuutambua mwili wa mwenzio pindi mkiwa faraga ili umridhishe ni kitu muhimu sana...yaani wapi ukimgusa anajiskia raha.. Kutoka nje kunatokana na yeye kutokuridhika vile vile sio wanawake wote wanaoweza kudhubutu kuwambia wapenz wao kuwa hawawaridhishi.. kwa hiyo kaa nae muulize ufanye nini ili kuondoa hili tatizo...kumpiga chini au kum-lulu hakusaidii... Utawalulu wangapi?
 
namwambia akaoge.....then tunaanza upya ili achoke siku nyingine asirudie.....
 
mimi ningempongeza kwani k si bado anayo
 
Ningemwambia 'duh . . . . . . .'

afu nikaondoka zangu.
 
Ukishagundua ujue we ndo chanzo cha tatizo kama sio hulka yake... Unatakiwa kujifunza kufanya mapenzi not all people are gifted to be good lover! Kujitambua mwili wako kuutambua mwili wa mwenzio pindi mkiwa faraga ili umridhishe ni kitu muhimu sana...yaani wapi ukimgusa anajiskia raha.. Kutoka nje kunatokana na yeye kutokuridhika vile vile sio wanawake wote wanaoweza kudhubutu kuwambia wapenz wao kuwa hawawaridhishi.. kwa hiyo kaa nae muulize ufanye nini ili kuondoa hili tatizo...kumpiga chini au kum-lulu hakusaidii... Utawalulu wangapi?[/QU
hapo umenena mkuu, ila ujue si wote wanaomegwa nje ni kwamba hawatoshelezw kimapenz. TAMAA inatuponza wanawake.
 
Kama ni mke jitazame wewe umeshamega wangapi nje kama wapo mpige mkwala kisha msamehe
 
Endeleza game haisomi kilometa hiyo...
Na usiendelee kuchunguza chunguza sana..
 
mi ningemsukuma kama Lulu alivyomsukuma Kanumba pwaaaaaaa.......
 
Back
Top Bottom