J Joseph Rusisye New Member Joined Sep 24, 2009 Posts 2 Reaction score 0 Sep 24, 2009 #1 Jamani mi naomba kuingia katika forum hii kwa manufaa ambayo nayategemea,kujifunza,kufundisha kukosoa,kukosolewa,kujitangaza kibiashara na mengine mengi tu,,,,HODI!!
Jamani mi naomba kuingia katika forum hii kwa manufaa ambayo nayategemea,kujifunza,kufundisha kukosoa,kukosolewa,kujitangaza kibiashara na mengine mengi tu,,,,HODI!!
J Joseph Rusisye New Member Joined Sep 24, 2009 Posts 2 Reaction score 0 Sep 24, 2009 Thread starter #2 Heloo jamani nimeingia na mimi
Ramthods JF-Expert Member Joined Jun 2, 2009 Posts 515 Reaction score 187 Sep 24, 2009 #3 Karibu. Nakukaribisha na kutegemea mchango wako kwa wengine pia. Naamini tutafaidika toka kwako pia!