Hodi Hodi Wanajamii

Hodi Hodi Wanajamii

Joseph Rusisye

New Member
Joined
Sep 24, 2009
Posts
2
Reaction score
0
Jamani mi naomba kuingia katika forum hii kwa manufaa ambayo nayategemea,kujifunza,kufundisha kukosoa,kukosolewa,kujitangaza kibiashara na mengine mengi tu,,,,HODI!!
 
Karibu. Nakukaribisha na kutegemea mchango wako kwa wengine pia. Naamini tutafaidika toka kwako pia!
 
Back
Top Bottom