B bakarikazinja Senior Member Joined Nov 9, 2009 Posts 177 Reaction score 8 Feb 24, 2010 #1 Kwa kawaida mgeni yeyote akifika nilazime apige hodi ,hivyo naomba mnikaribishe JF niweze kujumuika nanyi katika huu uwanja wenu
Kwa kawaida mgeni yeyote akifika nilazime apige hodi ,hivyo naomba mnikaribishe JF niweze kujumuika nanyi katika huu uwanja wenu
B bakarikazinja Senior Member Joined Nov 9, 2009 Posts 177 Reaction score 8 Feb 24, 2010 Thread starter #2 uliomzuri katika ushauri mbalimbli
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 4,998 Feb 24, 2010 #3 we uliingia kimykimya mwaka jana hafu ukapotea kimyakimya. Karibu masharti yazingatiwe!
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,829 Reaction score 1,303 Feb 25, 2010 #4 Karibu lakini mbona hapa sio jukwaa la kupigia hodi? sasa glasi na viti viko kulee ukumbini! wacha turudi kule tukakujulie hali! Hapa hationani uzuri!
Karibu lakini mbona hapa sio jukwaa la kupigia hodi? sasa glasi na viti viko kulee ukumbini! wacha turudi kule tukakujulie hali! Hapa hationani uzuri!
carmel JF-Expert Member Joined Aug 24, 2009 Posts 2,836 Reaction score 265 Feb 25, 2010 #5 karibu mgeni, umeleta nini?
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,401 Feb 25, 2010 #6 karibu sana ...inaonyesha wewe si mwanasiasa ...kwa mlango ulioingilia
Lily Flower JF-Expert Member Joined Oct 16, 2009 Posts 2,553 Reaction score 1,199 Feb 25, 2010 #7 Hizo mbio zoote ulizokuja nazo ndio ukashika breki hapa, nenda reverse kata kona ingia kulia utakuta bango limeadikwa utambulisho ndio hapo hapo, karibu sana.
Hizo mbio zoote ulizokuja nazo ndio ukashika breki hapa, nenda reverse kata kona ingia kulia utakuta bango limeadikwa utambulisho ndio hapo hapo, karibu sana.