Hodi hodi wanajamii

Hodi hodi wanajamii

bakarikazinja

Senior Member
Joined
Nov 9, 2009
Posts
177
Reaction score
8
Kwa kawaida mgeni yeyote akifika nilazime apige hodi ,hivyo naomba mnikaribishe JF niweze kujumuika nanyi katika huu uwanja wenu
 
we uliingia kimykimya mwaka jana hafu ukapotea kimyakimya. Karibu masharti yazingatiwe!
 
Karibu lakini mbona hapa sio jukwaa la kupigia hodi? sasa glasi na viti viko kulee ukumbini! wacha turudi kule tukakujulie hali! Hapa hationani uzuri!
 
karibu sana ...inaonyesha wewe si mwanasiasa ...kwa mlango ulioingilia
 
Hizo mbio zoote ulizokuja nazo ndio ukashika breki hapa, nenda reverse kata kona ingia kulia utakuta bango limeadikwa utambulisho ndio hapo hapo, karibu sana.
 
Back
Top Bottom