Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Habari zenu watanzania wenzangu, nimefanya uamzi wa busara kujiunga ndani ya hii forum baada ya kuona itanifaa kwa kupata changamoto mbali mbali. Nimekuwa mfatiliaji wa topics za forum hii kweli nimefurahi maana ni tofauti ya social networks nyingine kwa kujenga hoja.
Ni matumaini yangu tutashirikiana kwa kila ari na mali.
Asanteni sana.
Ni matumaini yangu tutashirikiana kwa kila ari na mali.
Asanteni sana.