Hodi hodi wanajamvi

Hodi hodi wanajamvi

mimi ni mdau mpya

Kuwa Mvumilivu Tu Manake Humu Jamvini Kuna Kila Aina Za Ubongo. Anza Kufanya Mazoezi Ya Kuvumilia Madongo Na Kila Aina Ya Adha Humu Na Labda Ningekushauri Tu Kuwa Karibu Sana Na Mimi GENTAMYCINE Na Nitakuwa Karibu Yako Na Utajisika Raha Na Utamu.
 
Hasante sana! Nitavumilia madongo nina imani nina kifua cha mbele na nyuma.
 
Back
Top Bottom