Awali ya yote napenda kuwasilimu wote wakubwa kwa wadogo, shikamooni/vipi wandugu. Mimi ni mgeni ktk jukwaa hili hivyo naomba ukaribisho wenu. Natumai nitapata mengi mf kuelimika na kuhabarika kupitia kwenu. Ushirikiano nitawapa kwa asilimia zote. Asanteni
Karibu ila hasira hazitakiwi hapa JF ukitoa mada/comment unaweza pondwa au pongezwa welcome once again and feel free to ask, comment or post anythng, but moral must be observed