Hodi Hodi wanaJF

Hodi Hodi wanaJF

Chongombili

Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
6
Reaction score
2
Awali ya yote napenda kuwasilimu wote wakubwa kwa wadogo, shikamooni/vipi wandugu. Mimi ni mgeni ktk jukwaa hili hivyo naomba ukaribisho wenu. Natumai nitapata mengi mf kuelimika na kuhabarika kupitia kwenu. Ushirikiano nitawapa kwa asilimia zote. Asanteni
 
Karibu ila hasira hazitakiwi hapa JF ukitoa mada/comment unaweza pondwa au pongezwa welcome once again and feel free to ask, comment or post anythng, but moral must be observed
 
Karibu sana jamvini. Nasi tunategemea tutapata mengi toka kwako.
 
Back
Top Bottom