Hodi hodi waungwana

Mkata miti

Member
Joined
Mar 19, 2017
Posts
9
Reaction score
5
Naomba mnipokee Mimi mgeni sizijui taratibu za hapa nackia humu ndani watu kuna watu wanamatusi kama nini na jeuri sana. Naomba maelekezo
 
karibu mkuu ,
kuwa mvumilivu kwenye wengi panamengi ,

Na mengi utajifunza taratibu
 
Umefata matusi au nini ?

Nini hasa lengo la wewe kuja huku?
 
Karibu lakin huku hakuna matusi Bali uoga wako tu.
 
Matusi gani uliomaanisha wewe zamani watoto walikuwa wakicheza baba na mama ndio tunasema matusi wee mtu mzima umeona watu wanafanya nini hapa ammaa siku nyingine usirudie ghahawa wanywa wewe haya karibu
 
Naomba mnipokee Mimi mgeni sizijui taratibu za hapa nackia humu ndani watu kuna watu wanamatusi kama nini na jeuri sana. Naomba maelekezo
kwa hiyo unataka tukutajie mmoja mmoja umekuja kutibu tatizo au
 
Asanteni waugwana kwa kunikaribisha humu nilikuwa kimya kidogo kwasababu nilikuwa buzy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…