hodi hodi wenyewe humu

hodi hodi wenyewe humu

Dafugwadu

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
4,688
Reaction score
5,129
Habari za majukumu wana jf? Kwa muda mrefu nimekua nikipata habari na hoja mbali mbali kutoka mtandao huu wa jf kupitia page yao niliyoi like fb kusema kweli kuna nondo za kushiba sana(habari zilizojitosheleza) kiasi ambacho imenibidi nifanye mpango wa kuwa mwanachama wa moja kwa moja wa jf sina mengi ila naomba kuketi jamvini.
 
Back
Top Bottom