staki shari
Member
- Feb 3, 2013
- 99
- 13
Wanajamvi nimeingia kilingeni,mechoka kusoma post za watu afu nashindwa changia.kiufupi mi ni kijana handsome wa kufa mtu,umri wa kati hv yani 26,tajiri flani, well educated,nina masters zangu 2.owning top ranked company ktk ulimwengu wa kibiashara, living mbezi beach near oasis <upepo unapovuma>, mzaliwa wa gas city, and most important is i'm SINGLE n READY to MINGO.