Hodi hodi

Hodi hodi

van disel

Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
45
Reaction score
51
Hoji jf. Baada ya kuingia mjini week iliyopita rasmi naomba niungane na ninyi. Wanaume wa dar salam habari zenu. Kuanzia leo rasmi mimi ni mwanaume wa dar. Asikuambie mtu kuwa mwanaume wa dar ni raha sanaaa
 
Karibu sana jf van disel wewe ni jinsia gani???

😀😀😀😀😀😀cc jonax
 
Hoji jf. Baada ya kuingia mjini week iliyopita rasmi naomba niungane na ninyi. Wanaume wa dar salam habari zenu. Kuanzia leo rasmi mimi ni mwanaume wa dar. Asikuambie mtu kuwa mwanaume wa dar ni raha sanaaa
ID yako ya zaman inaitwaje..?
 
Back
Top Bottom