Hodi hodi

Hodi hodi

Joined
Apr 13, 2017
Posts
28
Reaction score
32
mimi mgeni hapa jamvini naomba mnipokee kwa upole na heshima maana naona umu ndani kuna watu wanamatusi hatari
Asanteni sana
 
Karibu kichwa maji ukileta ukichwa maji wako hapa ni mahali pa kunyooshwa utakaa sawa tu!
 
Jifunze tamaduni za huma jf kwanza.

Usisahau humu ndani kila mtu ni mkuu,sawa mkuu?
 
Mpaka umewaona hao wenye mitusi basi ushakua mwenyeji!!! Karibu tena
 
Back
Top Bottom