Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Njoo pm nkufundishe kuandika kwa rangi rangi
na wewe nimependa avatar yako naomba nije pm tuyajenge[emoji23] [emoji23] [emoji23]
mbona unamtisha mgeni?Huku hamnaga amani.
Karibu KIBITI
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16] beat tuHuo ubabe lazima mgeni aogope loh
Sasa PM yako si itajaa. Yani wote unataka tujazane huko lol.na wewe nimependa avatar yako naomba nije pm tuyajenge
Nilijiuliza peke yangu mkuu. Nina imani atakujibu nami nitapatia jibu hapohapo.mgeni naona umekuja kupigia hodi chumbani (MMU), hivi ule mlango wa kuingilia ndani (jukwaa la utambulisho) hukuuona?
ila karibu mgeni, jisikie upo nyumbani
mgeni shamalizana nae ts ur tym nowSasa PM yako si itajaa. Yani wote unataka tujazane huko lol.
Anza na huyo mgeni kwanza. [emoji125] [emoji125]
Nilijiuliza peke yangu mkuu. Nina imani atakujibu nami nitapatia jibu hapohapo.
[emoji23] [emoji23]hahaa mgeni kaenda shopping sasa hivi, akirudi atatupa jibu letu...
Namjengea ujasirimbona unamtisha mgeni?
Mwifa hujambo lkn?Karibu sana.
Mwifa hujambo lkn?Karibu sana.