Hodi hodi

mgeni naona umekuja kupigia hodi chumbani (MMU), hivi ule mlango wa kuingilia ndani (jukwaa la utambulisho) hukuuona?

ila karibu mgeni, jisikie upo nyumbani
 
na wewe nimependa avatar yako naomba nije pm tuyajenge
Sasa PM yako si itajaa. Yani wote unataka tujazane huko lol.

Anza na huyo mgeni kwanza. [emoji125] [emoji125]
 
mgeni naona umekuja kupigia hodi chumbani (MMU), hivi ule mlango wa kuingilia ndani (jukwaa la utambulisho) hukuuona?

ila karibu mgeni, jisikie upo nyumbani
Nilijiuliza peke yangu mkuu. Nina imani atakujibu nami nitapatia jibu hapohapo.
 
unaomba ukaribisho upi ss?

Sent from my Infinix HOT 3 LTE using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…