Hodi hodi

munyambo p

Senior Member
Joined
Aug 18, 2017
Posts
172
Reaction score
166
Wakuu mm ni mgeni humu ndani na naishi nchini Rwanda na nimependa jamii forum maana kuna mambo mengi yanayohusiana na maisha ya kila siku ya binadamu.

Mm munyambo naomba mnipokee kwa mikono miwili na nawakaribisha huku kwetu maana sisi wote ni ndugu.

Asante!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uhakika wewe ni mgeni?

Lexus Mayai
 
Karbu sana, hata kwa mikono mitatu!
 
Siku kuu zinasema je?huku Rwanda mambo ni shwar karubuni kwetu jsman
 
Natamani siku kuu kua mikadi beach au coco beach nione jinsi watoto wa kizaramo wanavyoburudika lkn mambo amatight
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…