Hodi hodi

Hodi hodi

Luhomano

Member
Joined
May 1, 2020
Posts
57
Reaction score
32
Wakubwa shikamoo, rika moja mambo vipi, Luhomano hapa mwanajukwaa mpya nimependa kujiunga na jamiiforum kwasababu ni darasa tosha. Shukrani
 
Umekuja na ID mpya tena? Huyu jamaa bhana yaani ana ID zaidi ya 60 humu.
 
Mkuu wasiwasi wako tu mimi ni mwanajukwaa mgeni, sasa ukiwa unanifikiria hvyo ni fikra zako tu pole.
 
Karibu sana JF mjukuu wetu GT upate kufaidipo.
 
Back
Top Bottom