WayOut
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 752
- 173
Wasalaam wakuu!
Jamiiforums kwangu ni kama wikipedia ya bongo nilikua napita juu kwa juu sasa nimeamua kudumbukia kabisa ili niweze kuchangia na kuchangiana mawazo na wanajamii wenzangu wenye taaluma na uzoefu wa mambo kadha wa kadha kwa masuala tofauti tofauti.
Pamoja sana.