Wapendwa habari zenu,nilikuwa nafuatilia hili jukwaa kama guest kwa muda mrefu,nimeamua kuingia rasmi humu,kama kuna nyumba ndogo za my husband naomba tujuane kabisaa kiroho safi
Tunashangaa mwanamke anakuja amebeba furushi kishwani mkononi bonge la kikapu,miguu vumbi tupu,kichwani ushungi,kushangaa mtu anatugongea ktk gari letu na mpenzi wangu Madame B,akatuomba ela ya nauli kumuangalia vizuri tukamfananisha ndo tumeamua tumlete mme wake Baba V amtambue.kwa nini mwananume anakula raha huku mke wake kachoka hivyo jmn?
Akhu mwenzangu CHA KUFIA?
BTW Mamito umeamka Swalama?
Tunashangaa mwanamke anakuja amebeba furushi kishwani mkononi bonge la kikapu,miguu vumbi tupu,kichwani ushungi,kushangaa mtu anatugongea ktk gari letu na mpenzi wangu Madame B,akatuomba ela ya nauli kumuangalia vizuri tukamfananisha ndo tumeamua tumlete mme wake Baba V amtambue.kwa nini mwananume anakula raha huku mke wake kachoka hivyo jmn?
Wewe dogo acha matusi ya rejareja wewe!, shauri yako,utasutwa wewe pamoja na mkewe
Swalama mwayego..,natumbua tu macho ka fundi alopoteza nati.,cwajua ishu za mning'inio blue mande?
Hv huyo mmeo Baba V hakupitia jandoni?
Nitaja muharibu shape yake.
Mpe onyo.
Mwambie anikome kunivunjia ndoa yangu.
Anituweeeeeeeeeeee...........!!!!!!!!!!!!!
Mwambie SIMTAKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII...............!!!!!!!!!!!!
Nina wangu.
Nina NENA nini Kinena.
Asalaam aleykum shemeji !
Tumeshakomfemiwa!
Kriibb sana Jeiefu! Na hapa kuna majukwaa lukuki, naimani unapenda sana siasa na dini unaweza ukabobea tu huko, hapa muache Baba V hawezi toka hapa walishampa na mavyeo mumeo.
Yaani mamito mie Kazini ndo sijaenda kbs.
Nimechokaje na Mipombe!!!!!!!!!!!!
Nashukuru sana kwa kunikaribisha shemeji yangu, ija dah, haya maneno mengine duh!, mie majukwaa yote napitapita, pamoja sana!!!!!!
Nina NENA nini Kinena.
Yaani mamito mie Kazini ndo sijaenda kbs.
Nimechokaje na Mipombe!!!!!!!!!!!!
Ha ha ha haaah!! Kumbe lile zee ni noma, tusubiri tu kusuluhisha kesi humu ndani.Zee lile lisivyo na aibu linaweza kumkana Bi. Mdogo wake!
Nashukuru sana kwa kunikaribisha shemeji yangu, ija dah, haya maneno mengine duh!, mie majukwaa yote napitapita, pamoja sana!!!!!!
Mkuu nimemruhusu kwani alikuwa anajua kila kinachoendelea humu
Ha ha ha haaah!! Kumbe lile zee ni noma, tusubiri tu kusuluhisha kesi humu ndani.