Hodi huku jamani,Mama V nimekuja

We we we!!! tena koma kabisa huyo JAMHURI unaemsema sijawahi muona hata akimletea mwanangu penseli wala gauni, sitaki mwanangu AFYATUKE kama wewe

Hv wewe mwanaume Sura hunielewi?
nimeshakwambia SIKUTAKIIIIIII
Nina Chimbuvu wangu'
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh, nahisi Baba V kajiwowa??

 

Unitue babu weeee
Wakati unanitongoza hukujiju kama una mke ndani?
Najua ma Style yangu ndo yamekukoleza>
 

Shoga angu mi nipo hapa nimejaa tele kama pishi la Udaga.
Huyo Baba V na Mkewe jina Mama v wanajishaua nini?
Au tuwaandalie msuto?
 
Last edited by a moderator:
Shoga angu mi nipo hapa nimejaa tele kama pishi la Udaga.
Huyo Baba V na Mkewe jina Mama v wanajishaua nini?
Au tuwaandalie msuto?
mi naona tumkaribishe Mama v kwa msuto shosti, mambo ya kufwatana hadi kwenye vijiwe siyo mazuri ati, atulie nyumbani mumewe atairudisha salama, hakuna ving'ang'anizi huku, lol!
 
Last edited by a moderator:
Baba V kumbuka nakudai hujanilipa deni langu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…