WASIWASI Member Joined Jul 31, 2011 Posts 54 Reaction score 38 Jul 31, 2011 #1 wakuu me ndo kwa mara ya kwanza najiunga na kitengo hiki jaman naomba ushirikiano coz nmechoka kuwa guest katika jukwaa hili. big up alll.
wakuu me ndo kwa mara ya kwanza najiunga na kitengo hiki jaman naomba ushirikiano coz nmechoka kuwa guest katika jukwaa hili. big up alll.
arabianfalcon JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 2,285 Reaction score 584 Jul 31, 2011 #2 Karibu kijana wasiwasi na hapa wasiwasi upunguze jamvi ndio hilo ukalie wakubwa wanakuja wapate kukupa sheria za JF.
Karibu kijana wasiwasi na hapa wasiwasi upunguze jamvi ndio hilo ukalie wakubwa wanakuja wapate kukupa sheria za JF.
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,150 Reaction score 9,255 Jul 31, 2011 #3 karibu sana usishike tama basii.... dahhh halafu umenikumbusha ni mwisho wa mwezi asantee..
WASIWASI Member Joined Jul 31, 2011 Posts 54 Reaction score 38 Jul 31, 2011 Thread starter #4 arabianfalcon said: Karibu kijana wasiwasi na hapa wasiwasi upunguze jamvi ndio hilo ukalie wakubwa wanakuja wapate kukupa sheria za JF. Click to expand... thanx mkuu....
arabianfalcon said: Karibu kijana wasiwasi na hapa wasiwasi upunguze jamvi ndio hilo ukalie wakubwa wanakuja wapate kukupa sheria za JF. Click to expand... thanx mkuu....
WASIWASI Member Joined Jul 31, 2011 Posts 54 Reaction score 38 Jul 31, 2011 Thread starter #5 afrodenzi said: karibu sana usishike tama basii.... dahhh halafu umenikumbusha ni mwisho wa mwezi asantee.. Click to expand... Naona umekumbuka mshahara....thanx fo your welcome...
afrodenzi said: karibu sana usishike tama basii.... dahhh halafu umenikumbusha ni mwisho wa mwezi asantee.. Click to expand... Naona umekumbuka mshahara....thanx fo your welcome...