Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Karibu JF.. Home of great thinkers (and sinkers)Natumai Amani na utulivu vimetawala katika familia hii.
Katika ugeni wangu, naomba kujiunga nanyi, nami niwe sehemu katika platfom hii muhimu.
Asante.
Naomba kuwasilisha.

