Karibu JF.. Home of great thinkers (and sinkers)Natumai Amani na utulivu vimetawala katika familia hii.
Katika ugeni wangu, naomba kujiunga nanyi, nami niwe sehemu katika platfom hii muhimu.
Asante.
Naomba kuwasilisha.
Aaha nilitoka kapaViazi mviringo, kwa lugha ya kibena
Sawa Njombe.Natumai Amani na utulivu vimetawala katika familia hii.
Katika ugeni wangu, naomba kujiunga nanyi, nami niwe sehemu katika platfom hii muhimu.
Asante.
Naomba kuwasilisha.