Hodi humu ndani

Hodi humu ndani

Karibu Clara,,,

Ngoja nijumlishe namba hizi Clara+ Xav= 8
Nane ni namba inayogawanyika kwa mbili,hii ina maana kimahesabu inatakiwa itengenezwe bonge moja ya Combo,Xav and Clara..

Usiogope ni Combo ya kiushauri na kubadilishana mawazo,,yaan nakua kaka yako huku jamii forum nawe unakua dada wngu wa hiyari.. So karibu sana kwa mara nyingine
Asante
 
Karibu ila Id ya zamani ni ipi?
Alafu mbona id mpya nyingi ni jinsia Ke kutokana na majina?
 
Angekua dume huyu mgeni, sidhani Kama angepata mapokezi ya aina hii..... Jf mmejaa mafisi humu, hatariiii
 
Back
Top Bottom