Hodi humu ndani

Pununkila

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2021
Posts
689
Reaction score
1,706
Salama wana Jamii Forums...kwa miaka mitano nimekuwa napita humu kimyakimya nakula nondo za maana ubongo unashiba....mwaka huu nimeona ni vema nami niwe mwanachama hai...
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT upate kufaidi.
 
Salama wana Jamii Forums...kwa miaka mitano nimekuwa napita humu kimyakimya nakula nondo za maana ubongo unashiba....mwaka huu nimeona ni vema nami niwe mwanachama hai...

Karibu sana ndani ya mjengo wa jf,

Hivi Pununkila maana yake nini??
 
Miaka mitano ya chabo nimeagana nayo
 
Asante Sana wasalimie wakina mzee mshana waambie mjukuu wait nimefika...
 
Salama wana Jamii Forums...kwa miaka mitano nimekuwa napita humu kimyakimya nakula nondo za maana ubongo unashiba....mwaka huu nimeona ni vema nami niwe mwanachama hai...
Karibu Jf. Na jaribu udumishe mila na desturi za kitanzania kwa kuchangia kwa afabu na heshima. Wapuuzie wanao tukana na kukejeli. Jaribu usiige mabaya ya hapa janvini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…