Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salama wana Jamii Forums...kwa miaka mitano nimekuwa napita humu kimyakimya nakula nondo za maana ubongo unashiba....mwaka huu nimeona ni vema nami niwe mwanachama hai...
Unaish wp sistaMiaka mitano ya chabo nimeagana nayo
Pununkila said:Miaka mitano ya chabo nimeagana nayo
Karibu Jf. Na jaribu udumishe mila na desturi za kitanzania kwa kuchangia kwa afabu na heshima. Wapuuzie wanao tukana na kukejeli. Jaribu usiige mabaya ya hapa janvini.Salama wana Jamii Forums...kwa miaka mitano nimekuwa napita humu kimyakimya nakula nondo za maana ubongo unashiba....mwaka huu nimeona ni vema nami niwe mwanachama hai...