Hodi Humu Ndani

Hodi Humu Ndani

Cr wa familia

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2023
Posts
1,064
Reaction score
1,442
Salaamu [emoji4]

Me ni kijana wenu nimo humu kwa muda sasa ila nilikuwa sijajitambulisha naomba mfanye kama ndo mnanipokea wakuu sina mishe yoyote nnayofanya msijeniuliza kazi yangu 😀 ila naishi poa sana naomba pia nipate japo marafiki anyone akitaka njoo 😀 [emoji3]
 
Back
Top Bottom