Hodi humu ndani.

Hodi humu ndani.

wakukae

Senior Member
Joined
Aug 30, 2012
Posts
113
Reaction score
58
Habari wana jamii. Nafurahi kujiunga nanyi leo. Naomba muongozo maana uelewa wangu kumu jamvini bado ni mdogo. Asanteni sana
 
Karibu sana, subiri Mkuu Katavi atakupa muongozo. Kamanda Ritz na Ulimakafu watakuletea funguo za majukwaa mbalimbali.
 
Last edited by a moderator:
karibu jamvini, taratibu utajifunza...
 
Karibu sana wakukae jamvini, aliyekufungulia mlango anaitwa Globu na aliyekupokea mzigo anaitwa watu8
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom